Imewekwa kuanzia tarehe: October 25th, 2022
WAKAZI wa kijiji cha Ruvumachini Halmashauri ya mji Mbinga mkoani Ruvuma,wameishukuru serikali kwa kuanza ujenzi wa mradi mkubwa wa maji unaokwenda kumaliza kero ya muda mrefu ya maji safi...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 25th, 2022
HOSPITALI ya Kiuma inayomilikiwa na Kanisa la Upendo wa Kristo Masihi wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma,imepokea msaada wa mashine ya X-Ray kwa ajili ya wagonjwa wanaohitaji kufanyiwa uchunguzi magonjwa...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2022
Rais Samia awezesha gari kufika kwa mara ya kwanza ,wananchi wasema malaika ameshuka
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imewezesha kwa mara ya kwanza tangu uhuru gar...