Imewekwa kuanzia tarehe: January 30th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amewaomba wazee wa kimila kusimamia maadili kwa vijana na familia zao.
Ameyasema hayo, wakati akizungumza katika kikao cha wa wazee wa kimila na Mac...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 30th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua usajili wa wamachinga kwa njia ya vocha katika eneo la soko la Majengo Manispaa ya Songea.
Akizungumza kwenye uzinduzi huo uliowashirikisha vion...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 30th, 2024
WAZEE wa Mkoa wa Ruvuma wameiomba serikali kuona uwezekano wa kutoa pensheni kwa wazee wote ili waweze kukabiliana na ugumu wa Maisha.
Wazee hao wametoa ombi hilo kwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali ...