Imewekwa kuanzia tarehe: March 27th, 2025
Watoto wawili waliotoroshwa kutoka kijiji cha Mkowela, wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma na kupelekwa nchini Msumbiji kwa ajili ya kufanyishwa kazi, wamefanikiwa kurejeshwa nyumbani salama baada ya juhu...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 27th, 2025
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, inaendelea kuimarisha sekta ya elimu kwa kuwekeza katika miundombinu ya shule.
Katika...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 27th, 2025
Wananchi wa Kata ya Mkongo Gulioni, Kijiji cha Mkongo, wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa shilingi...