Imewekwa kuanzia tarehe: September 3rd, 2022
KAYA zipatazo 110 zinazoishi kwenye mazingira magumu na hatarishi katika kata ya Ruvuma Manispaa ya Songea,zimepatiwa msaada wa vifaa vya kufukuza mbu majumbani (Mosquito fans) sambamba na...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 2nd, 2022
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Songea, Menace Komba, amewataka madiwani wa halmashauri hiyo kuwahamasisha wananchi kulima mazao ya biashara.
Hayo ameyasema kwenye kikao cha b...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 2nd, 2022
Serikali imetoa shilingi bilioni tatu kutekeleza mradi wa shule ya sekondari ya wasichana ya Mkoa wa Ruvuma ambayo inajengwa katika eneo la Migelegele wilayani Namtumbo.
Akizungumza baada ya kukagu...