Imewekwa kuanzia tarehe: December 11th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekabidhi msaada wa taulo za kike 2,502 zilizotolewa na Shirika la Social Action Trust Fund(SATF) kwa wanafunzi wa shule saba za msingi wilayani Nyasa...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 10th, 2020
WAFUGAJI Songea washauriwa kutumia teknolojia rahisi ya ufugaji kuku
Wafugaji wa kuku wa Kijiji cha Nakahegwa wilayani Songea mkoani Ruvuma wameshauriwa kutumia teknolojia rahisi katika kufan...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 9th, 2020
SERIKALI ya Awamu ya Tano imetoa shilingi milioni 798 kwa ajili ya kukarabati sekondari kongwe ya wavulana Tunduru mkoani Ruvuma yenye wanafunzi zaidi ya 700 ambayo ilianzishwa mwaka 1978.
...