Imewekwa kuanzia tarehe: July 20th, 2023
Makamu wa Rais Mheshimiwa Dkt.Philipo Mpango anatarajia kuzindua kampeni ya kitaifa ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia (Mama Samia Legal Aid Campaign) Julai 22 mwaka huu katika uwanja wa Majimaji mji...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 20th, 2023
SERIKALI imetoa zaidi ya shilingi bilioni 33 kwa ajili ya kutekeleza mpango wa kunusuru kaya kupitia Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) mkoani Ruvuma.
Akitoa taarifa ya utekelezaji wa TASAF katika...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 19th, 2023
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt.Philipo Isdory Mpango anatarajia kuanza ziara ya kikazi mkoani Ruvuma kuanzia Julai 20,2023 hadi Julai 24,2023....