Imewekwa kuanzia tarehe: October 26th, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amewasilisha salama za upendo zilizotolewa na Rais Dkt.John Magufuli kwa waumini wa Kanisa la TAG Misufini mjini Songea,licha kutoa salamu hizo,Mndeme pia...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 26th, 2020
MKOA wa Ruvuma umefanikiwa kutoa vitambulisho kwa wajasirimali wadogo 59,279 mwaka 2019 na vitambulisho 13,827 vimetolewa kwa wajasirimali wadogo hadi kufikia Oktoba 23 mwaka huu.
Hayo yamesemwa na...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 24th, 2020
TAASISI ya kuzuia na kupambana na Rushwa TAKUKURU Mkoa wa Ruvuma imeokoa fedha za umma zaidi ya shilingi milioni 107 kutokana na uchunguzi mbalimbali unaoendelea kufanywa.
Akitoa taarifa hiyo...