Imewekwa kuanzia tarehe: March 6th, 2025
Mkoa wa Ruvuma umeendelea kuwa na usalama wa chakula kwa zaidi ya miaka kumi na mbili mfululizo, ukiwa na ziada ya tani 1,485,763.76 za chakula.
Afisa Kilimo Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma,O...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 6th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imekabidhi mikopo yenye thamani ya shilingi milioni 313,350,550 kwa vikundi vya wanawake, vijana, na watu wenye ulemavu.
Mgeni rasmi katika hafl...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 6th, 2025
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Ruvuma, Oddo Mwisho, amewataka wananchi kushirikiana na viongozi wa chama kupinga vitendo vya rushwa vinavyofanywa na baadhi ya viongozi wanaotaka madar...