Imewekwa kuanzia tarehe: January 21st, 2021
KAMA unadhani jiwe la Mwanza lililopo katika ziwa Viktoria ndiyo kivutio pekee cha utalii katika maziwa hapa nchini utakuwa unajidanganya.
Katika ziwa Nyasa Mkoa wa Ruvuma kuna jiwe linaloitwa Pomo...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 20th, 2021
Hiki ni kisiwa cha Lundo kilichopo kilometa nne kutoka fukwe za ziwa Nyasa na kina ukubwa wa hekta 20.Kisiwa hiki kina historia mbalimbali ikiwemo kutumika kuwaweka wagonjwa wa ukoma mwaka 1917 wakati...