Imewekwa kuanzia tarehe: January 27th, 2022
MAAFISA ugani wa Mkoa wa Ruvuma wamepewa mafunzo juu ya kanuni bora za kilimo cha Mkonge .
Mafuzo hayo yametolewa na wataalamu kutoka Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania [TARI] Tanga katika ukumb...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 26th, 2022
Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI) Kituo cha Mlingano Tanga inatoa mafunzo ya siku mbili kwa maafisa Ugani toka Wilaya zote za Mkoa wa Ruvuma yanayohusu afya ya udongo ,matumizi bora ya mbol...