Imewekwa kuanzia tarehe: July 16th, 2024
Mkaguzi Mkuu wa Nje kutoka Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi CPA Deogratias Waijaha amesema watumishi wapya 675 kutoka Halmashauri za wilaya ya Mbinga,Nyasa na Mbinga mji mkoani Ruvuma hawajafanyiwa upekuzi i...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewaagiza waheshimiwa madiwani na wataalam kuhakikisha wanadhibiti upotevu wa fedha kwa kuchukua hatua kwa wanaosabisha upotevu huo.
Kanali Abbas am...
Imewekwa kuanzia tarehe: July 16th, 2024
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amezitahadharisha Halmashauri kuacha matumizi ya fedha mbichi.
Kanali Abbas ametoa tahadhari hiyo wakati anazungumza kwa nyakati tofauti katika hotub...