Imewekwa kuanzia tarehe: November 19th, 2024
Makamu wa Rais Dkt.Philip Mpango anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani ambayo yanafanyika katika uwanja wa Majimaji Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Hayo yamese...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 18th, 2024
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU) Mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kuokoa kiasi cha shilingi Milioni 16,736,800 kuanzia Julai hadi Septemba 2024.
Hayo yamebainishwa na Naibu Mkuu...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 18th, 2024
Soko la Mbamba bay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma limeteketea Kwa moto usiku wa kuamkia Tarehe 16/11/2024 na kuuunguza vibanda 25 vya soko hilo na mali ambazo zilikuwepo katika vibanda hivyo...