Imewekwa kuanzia tarehe: December 4th, 2022
WAKALA wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mkoa wa Ruvuma imefanikiwa kujenga madaraja mawili yenye thamani ya shilingi bilioni 1.3.
Meneja TARURA Mkoa wa Ruvuma Mhandisi Wahabu Nyamzu...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 3rd, 2022
MBUNGE wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stella Manyanya akizungumza baada ya kutembelea mradi mkubwa wa maji wenye thamani ya shilingi bilioni 6.4 katika Kijiji cha Mwerampya Kata ya Lituhi Wilaya ya Nyasa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 3rd, 2022
SERIKALI ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan imetoa shilingi milioni 900 kupitia TARURA kujenga daraja linalounganisha Namtumbo na vijiji vya Libango na mianzini vinavyoongoza kw...