Imewekwa kuanzia tarehe: April 18th, 2024
Diwani wa kata ya Likuyu Wilayani Namtumbo Mkoani Ruvuma Mheshimiwa Kassimu Gunda amewashauri viongozi wa Serikali Kuwajenga wananchi kisaikolojia kwenye migogoro kati ya binadamu na wanyamapori.
A...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 18th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma Mheshimiwa Peres Magiri, amewataka wananchi wa Wilaya ya Nyasa kushiriki kikamilifu Uchaguzi wa Serikali za mitaa unaotarajia kufanyika mwaka huu 2024.
Ameyase...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 18th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imepokea jumla ya shilingi milioni 826 kutoka Serikali Kuu kwa ajili ya ujenzi na ukamilishaji wa vyumba vya madarasa na matundu ya vyoo katika shule za ...