Imewekwa kuanzia tarehe: May 15th, 2024
Na Albano Midelo,Namtumbo
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amesikitishwa na hali isiyoridhisha ya malezi na uangalizi wa mtoto.
Akizungumza kwenye maadhimisho ya siku ya kimataifa...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 14th, 2024
WAGONJWA 568 wa Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma wamepata huduma na kutibiwa na Madaktari bingwa walioletwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt .Samia Suluhu Hassan .
...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 14th, 2024
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma imeandaa warsha itakayowaleta pamoja wadau 300 kujadili huduma zinazotolewa na Shirika la Umeme Tanzania (TAN...