Imewekwa kuanzia tarehe: December 26th, 2020
KANISA la Anglikani linaloshilikiana na Shirika la Copassion wamegawa Magodoro 100 kwa watoto wanaoishi katika mazingira magumu yenye thamani ya shilingi milioni kumi.
Akitoa taarifa hiyo leo...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 22nd, 2020
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua mradi wa maji katika kijiji cha Peramiho Halmashauri ya Wilaya ya Songea.Mradi huo ambao ulianza mwaka 2002 hadi kukamilika unatarajia kutumia zaidi ya...