Imewekwa kuanzia tarehe: June 16th, 2024
Mwenge wa Uhuru ukiwa katika Manispaa ya Songea umetembelea mradi wa maji Mtaa wa Pambazuko Kata ya Tanga unaogharimu Zaidi ya shilingi milioni 578 wenye uwezo wa kuhudumia wananchi wapata0 15,990.Mra...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 15th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 umetembelea mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara za lami nzito zinazogharimu Zaidi ya shilingi bilioni 22 katika mji wa Songea mkoani Ruvuma.
Akitoa taarifa ya mradi huo kw...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 15th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 umehitimisha mbio zake mkoani Ruvuma kwa kukagua miradi katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea.
Akitoa taarifa kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge Kitaifa 2024 kuhusu mradi wa...