Imewekwa kuanzia tarehe: January 15th, 2023
Waziri wa Kilimo Mhe, Hussein Bashe akisalimiana na Viongozi pamoja na Wataalamu wa kilimo wa Mkoa wa Ruvuma mapema hii leo Januari 15, 2023. baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege Mjini...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 14th, 2023
MKURUGENZI wa Sera na Mipango Ofisi ya Rais TAMISEMI John Mihayo Cheyo amesema ofisi yake inafanya zoezi la tathimini ya ukusanyaji wa mapato katika Halmashuri zote 184 Tanzania Bara.
Amesema zoezi...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 14th, 2023
JUMLA ya kilo 308,774 za korosho kutoka vyama vya msingi vya ushirika vinavyosimamiwa na Chama Kikuu cha ushirika wilaya ya Tunduru (Tamcu Ltd), zimeuzwa katika mnada wa 10 uliofanyika katika gh...