Imewekwa kuanzia tarehe: September 16th, 2022
SERIKALI imetoa shilingi milioni 500 kupitia tozo za miamala ya simu kujenga Kituo cha Afya Liganga Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma....
Imewekwa kuanzia tarehe: September 16th, 2022
SERIKALI inajenga Kituo cha Afya Kindimbachini Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma.Mradi huo uliofikia asilimia 85 unatekelezwa kwa shilingi milioni 500 kupitia tozo za miamala ya simu....
Imewekwa kuanzia tarehe: September 16th, 2022
SERIKALI inatekeleza mradi wa Kituo cha Afya Mbangamao katika Halmashauri ya Mji Mbinga mkoani Ruvuma kupitia fedha za tozo ya miamala ya simu ambapo mradi unatekelezwa kwa shilingi milioni 500...