Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2025
Wataalam wa afya mkoani Ruvuma wamepatiwa mafunzo ya Chati Uchungu iliyoboreshwa (Labour Care Guide) inayosaidia kufuatilia maendeleo ya mama mjamzito na mtoto wake tumboni kabla ya kujifungua.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2025
Kampuni ya simu ya Vodacom imezindua duka jipya lililoboreshwa katika eneo la Bombambili Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma.
Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo alikuwa ni Mkuu wa Mkoa wa Ruv...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2025
Na Albano Midelo
Katika jitihada za kuboresha miundombinu ya barabara mkoani Ruvuma, Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) unatekeleza mradi mkubwa wa ujenzi wa barabara zenye urefu wa ...