Imewekwa kuanzia tarehe: May 10th, 2024
Wanafunzi wa darasa la awali hadi darasa la nne katika Halmashauri ya Madaba wilayani Songea mkoani Ruvuma wanatarajia kuanza kupimwa viwango vyao vya uoni na usikivu kuanzia Mei 13 hadi 19, 202...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 10th, 2024
Katibu Tawala wa Wilaya ya Songea Mtela Mwampamba, amewaagiza watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule wote kuhakikisha kila Mzazi anachangia gharama za chakula ili kumhakikishia mtoto kupata c...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 10th, 2024
Madiwani wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wa Kamati ya Fedha na Uongozi wamekagua miradi sita ya maendeleo yenye thamani ya Zaidi ya shilingi bilioni moja.
Mwenyekiti wa Kamati hi...