Imewekwa kuanzia tarehe: December 28th, 2022
MKOA wa Ruvuma umeweza kukusanya mapato kwa asilimia 110.8 katika mwaka 2021/2022.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amesema katika kipindi hicho Halmashauri zote nane zimeweza kukus...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 28th, 2022
MKOA wa Ruvuma una ziada ya chakula tani 787,190 hali iliyosababisha Mkoa kuendelea kushika nafasi ya kwanza kitaifa katika uzalishaji mazao ya chakula.
Hayo yamesemwa na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kan...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 27th, 2022
Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika mwaka wa fedha 2022/2023 imetenga zaidi ya shilingi bilioni 46 kwa ajili ya barabara za Mkoa wa Ruvuma.
Hayo yamesemwa ...