Imewekwa kuanzia tarehe: September 10th, 2021
MAKABIDHIANO maalum ya Mwenge wa Uhuru kutoka Mkoa wa Ruvuma kwenda Mkoa wa Njombe mbele ya Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 yamefanyika katika kijiji cha Mavanga wilayani Ludewa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 10th, 2021
KIONGOZI wa Mbio maalum za Mwenge wa Uhuru 2021 Luteni Josephina Mwambashi amezindua klabu ya wapinga rushwa katika shule maalum ya wasichana ya Mbinga Girls iliyopo wilayani Mbinga mkoani Ruvum...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 10th, 2021
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekutana na watendaji wa vyama vikuu vya ushirika mkoani Ruvuma ofisini kwake mjini Songea na kutoa maelekezo mbalimbali ambayo yataleta tija kw...