Imewekwa kuanzia tarehe: October 7th, 2023
Watu 41 wamepoteza maisha mkoani Ruvuma kutokana na ajali 28 za barabarani zilizotokea katika kipindi cha kuanzia Januari hadi Septemba mwaka huu.
Taarifa ya Usalama barabarani ya Mkoa wa Ruv...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 3rd, 2023
Ndege ya abiria ya ATCL ikiwa imetua kwenye kiwanja cha Ndege cha Songea mkoani Ruvuma Septemba 2 mwaka huu.
Serikali inakamilisha ufungaji wa taa ili ndege ziweze kutua kwa saa 24 kwenye kiwanja h...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 3rd, 2023
WANAFUNZI 332 WAFANYA UTALII WA NDANI RUHILA ZOO
Wanafunzi 332 wa shule ya Msingi SIMAGO kata ya Ruhuwiko Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma wamefanya utalii wa ndani katika Bustani ya Ruhila mjini S...