Imewekwa kuanzia tarehe: March 6th, 2024
Kaimu Mkurugenzi Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma Andrew Mbunda amewataka walimu wanaojengewa uwezo wa mtaala mpya wa elimu msingi kushiriki kuzingatia maelekezo yanayotolewa na waw...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 5th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kweny hafla ya mapokezi ya vifaa tiba vya majimbo ya uchaguzi.
Hafla ya mapokezi ya vifaa tiba hivyo inatarajiwa ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 5th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo Mheshimiwa Ngollo Malenya amesema wilaya hiyo inafanya maadhimisho ya siku ya wanawake kiwilaya kwa siku mbili kuanzia Machi 5 hadi 6,2024 ili kutoa fursa kwa wanawake...