Imewekwa kuanzia tarehe: December 21st, 2020
Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi kupitia Kitengo cha Uhalifu Mitandaoni wametoa mafunzo ya sheria ya makosa ya mtandaoni ya mwaka 2015 watu wenye ulemavu mkoa...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 19th, 2020
Mkoa wa Ruvuma umefanikiwa kuwapangia shule za sekondari watoto wote 27,135 waliofaulu mtihani wa kuhitimu darasa la saba mwaka 2020.
Akizungumza kwenye kikao cha kutangaza wanafunzi walio...
Imewekwa kuanzia tarehe: December 18th, 2020
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Christina Mndeme amekagua mradi wa maji kata ya Lilambo wenye thamani ya shilingi zaidi ya bilioni moja.Mradi huo umekamilika kwa asilimia 98 ambapo Mndeme ameagiza asilimia mbi...