Imewekwa kuanzia tarehe: October 21st, 2022
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akionyesha baadhi ya mkitaba 13 yenye thamani ya shilingi bilioni sita wakati aliposhuhudia tukio la utiaji saini ambalo limefanyika kwenye ukumbi wa Manispa...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 21st, 2022
Mkoa wa Ruvuma umeingia mikataba 13 na wakandarasi yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni sita kwa ajili ya kutekeleza kazi mbalimbali za matengenezo ya barabara na ujenzi wa madaraja na makaravat...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 20th, 2022
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watumishi wa umma watimize wajibu wao kama ambavyo Rais Samia Suluhu Hassan anatarajia wafanye pindi anapowateua ama kuwapa ajira.
“Mheshimiwa Rais Samia Suluh...