Imewekwa kuanzia tarehe: March 26th, 2024
pichani ni Baadhi ya Wafanyakazi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ambao yamejitokeza katika zoezi la upimaji wa magonjwa yasiyoambukiza.
magonjwa hayo ni pamoja na shinikizo la juu la damu(BP...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 26th, 2024
Na Albano Midelo,Songea
UZALISHAJI wa madini ya makaa ya mawe katika Mkoa wa Ruvuma umekuwa chanzo kikubwa cha mapato ya serikali ambapo katika mwaka wa fedha wa 2023/2024,serikali imeweza ku...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 25th, 2024
Wakazi wa Mji wa Mbambabay wilayani Nyasa mkoani Ruvuma wanaendelea na shughuli za kiuchumi ikiwemo uvuvi katika ziwa Nyasa,ziwa hilo ni miongoni mwa maziwa machache duniani ambayo yana samaki wenye l...