Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2025
Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Shule, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mwalimu Ephraim Simbeye, amesema kuwa ili sekta ya elimu ipate matokeo yenye ufanisi, ni lazima walimu washiriki mafunzo ...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2025
Mradi wa ujenzi wa bandari ya Mbambabay katika Ziwa Nyasa, wilayani Nyasa mkoani Ruvuma, unatarajiwa kukamilika ifikapo Januari 26, 2026, na unafadhiliwa na Serikali ya Tanzania kwa asilimia 100.
M...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 15th, 2025
Rais Samia Suluhu Hassan ametoa shilingi bilioni 25 kutekeleza miradi ya maji katika wilaya ya Nyasa, ambayo inasimamiwa na RUWASA. Miradi hii inahusisha vijiji 34 vya wilaya hiyo na inatarajiwa kubor...