Imewekwa kuanzia tarehe: September 7th, 2022
Balozi wa Tanzania nchini Malawi Humphrey Polepole amefanya ziara ya kikazi ya siku moja mkoani Ruvuma .Hapa kushoto akikaribishwa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas katika ho...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 7th, 2022
MKUU wa wilaya ya Songea mkoani Ruvuma Pololet Mgema amewataka wananchi wilayani humo kuwafichua wahujumu wanaorudisha nyuma juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan za kumtua mama ndoo kichwani wanaoiba mi...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 6th, 2022
UTEKELEZAJI wa Mpango wa TASAF Mkoa wa Ruvuma umesaidia walengwa 19,216 wamejiunga na Mfuko wa Afya ya Jamii (ICHF).
Akizungumza Mratibu wa TASAF Mkoa wa Ruvuma Xsaveria Mlimira amesema ongezeko la...