Imewekwa kuanzia tarehe: April 20th, 2023
KIONGOZI wa mbio za mwenge wa Uhuru kitaifa 2023 Abdalla Shaib Kaim,ameipongeza serikali ya awamu ya sita kwa jitihada zake za kuimarisha na kuboresha sekta ya afya hapa nchini.
Kaim ametoa pongezi...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 19th, 2023
SERIKALI imetoa kiasi cha Sh.milioni 320,643,000 kwa ajili ya kujenga jengo la kliniki ya afya ya kinywa na meno katika Hospitali ya wilaya Namtumbo mkoani Ruvuma ikiwa ni mkakati wake wa kuboresha hu...
Imewekwa kuanzia tarehe: April 19th, 2023
MWENGE wa Uhuru Kitaifa 2023 umeendelea na ziara yake katika wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambapo Aprili 19,2023 umekagua na kuridhia miradi yote katika Halmashauri ya Madaba yenye thamani ya shiling...