Imewekwa kuanzia tarehe: March 10th, 2025
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Ruvuma limewataka wananchi wa mkoa huo kuwa walinzi wa miundombinu ya umeme .
Afisa Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa TANESCO Mkoa wa Ruvuma, Alan Njiro, ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 9th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Namtumbo, mkoani Ruvuma Mheshimiwa Ngollo Malenya, ametembelea Kata ya Litola baada ya upepo mkali kuharibu makazi ya wananchi, ikiwemo nyumba 6 za walimu na vyoo 10.
Ziara hiyo i...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 9th, 2025
Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma imeandaa kongamano maalumu kuelekea kilele cha Siku ya Wanawake Duniani, likiwakutanisha wanafunzi wa kike kutoka Shule za Sekondari za Limbo, Mbamba Bay, na Lovund pamoj...