Imewekwa kuanzia tarehe: May 14th, 2023
MKUU wa mkoa wa Ruvuma Kanal Laban Thomas,ameziagiza Halmashauri zote nane za mkoa huo kuhakikisha zinatekeleza agizo la Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na mazingira la kupanda miti takribani milioni...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 14th, 2023
KIONGOZI wa mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2023 Abdalla Shaibu Kaim,ameweka jiwe la msingi kwenye mradi wa maji wa Ngumbo Group wilayani Nyasa unaotekelezwa na wakala wa maji safi na usafi wa mazingira...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 13th, 2023
Mradi wa ujenzi wa Kituo cha Afya kata ya Ligera Halmashauri ya Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma ambacho serikali imetoa shilingi milioni 500 kutekeleza mradi huo ambao upo katika hatua za umaliziaji...