Imewekwa kuanzia tarehe: November 27th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, amesema kutokana na takwimu zinazotolewa inaonekana kundi kubwa lililoathirika na maambukizi ya VVU ni la vijana.
Ameyasema hayo wakati akifunga md...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 27th, 2024
Katibu Tawala wa Mkoa wa Ruvuma, Bi. Mary Makondo, amewataka vijana kuishi kwa kufuata misingi ya dini na utamaduni huku wakikabiliana na changamoto mbalimbali.
Bi. Mary alitoa wito huo wakati akim...