Imewekwa kuanzia tarehe: March 2nd, 2025
Wanawake wa Mkoa wa Ruvuma wanatarajiwa kuhudhuria kongamano maalum litakalofanyika Machi 3,2025 katika Ukumbi wa Bombambili Manispaa ya Songea kuanzia saa 2:00 asubuhi.
Kongamano hili limeandaliwa...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 2nd, 2025
Mkoa wa Ruvuma unajiandaa kwa tamasha kubwa la “Usiku wa Mwanamke,” linalotarajiwa kufanyika tarehe 9 Machi 2025 katika Ukumbi wa Bombambili.
Hafla hii inalenga kusherehekea mafanikio ya wanawake n...