Imewekwa kuanzia tarehe: November 11th, 2024
Tunawatakia kila la kheri wanafunzi wa kidato cha nne mkoani Ruvuma ambao wanaanza mtihani wao wa Taifa Novemba 11 mwaka huu
...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 11th, 2024
Halmashauri ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma imewapa mafunzo wahudumu wa afya kuhusu umuhimu wa lishe bora na uhusiano wake katika kuepuka udumavu na magonjwa yanayotokana na lishe duni. Mafunzo hay...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 10th, 2024
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma ikishirikiana na wadau wa sekta ya afya inawakaribisha wananchi wote wa Mkoa wa Ruvuma na mikoa jirani katika maadhimisho ya Siku ya UKIMWI duniani ambayo kitaifa yataf...