Imewekwa kuanzia tarehe: October 30th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge amekagua vyanzo vya maji kwenye miradi ya maji Ndongosi na Liula wilayani Songea na kuagiza vyanzo hivyo kulindwa ili viwe endelevu.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 27th, 2021
MKOA wa Ruvuma umetenga jumla ya ekari 48,343.35 za ardhi kwa ajili ya kilimo cha pamoja na Mkataba kwa zao la Alizeti,Ufuta na Soya ikiwa ni mkakati wake wa kutaka kujitosheleza kwa mafuta ya k...
Imewekwa kuanzia tarehe: October 26th, 2021
Ni mbuga chache za wanyama pori hapa nchini ambazo zimebahatika kuwa na maingilio au mapitio ya wanyama ambayo yanaitwa ushoroba kutoka nchi moja kwenda nchi nyingine jirani .
Pori la wanyamapori L...