Imewekwa kuanzia tarehe: August 12th, 2023
BIASHARA ya madini ya makaa ya mawe mkoani Ruvuma imeshamiri baada ya mauzo jumla ya makaa ya mawe ya tani 450,675.32 ndani ya nchi na tani 1,060,699.05 ziliuzwa nje ya nchi katika kipindi...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 11th, 2023
WATAALAM 50 waliopo chini ya Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma wameanza mafunzo ya mfumo mpya wa ununuzi wa umma (NeST).
Mafunzo hayo yameanza Agosti 11,2023 kwenye ukumbi wa Mipango Ofisi ya M...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 11th, 2023
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas amezindua Mradi wa Kutatua migongano baina ya binadamu na wanyamapori katika ukanda wa Ruvuma.
Uzinduzi wa mradi huo unaotekelezwa na serikali ya Ta...