Imewekwa kuanzia tarehe: November 23rd, 2024
Waziri wa Afya Mheshimiwa Jenista Mhagama amezindua rasmi kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa kupitia Chama cha Mapinduzi katika Kata ya Mchoteka Jimbo la Tunduru Kusini mkoani Ruvuma.
K...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 22nd, 2024
Naibu Waziri wa Nishati Mheshimiwa Judith Kapinga akizungumza na wananchi wa Kata ya Luchili wilayani Namtumbo mkoani Ruvuma wakati anazindua rasmi kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa wilayani hu...
Imewekwa kuanzia tarehe: November 20th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Ahmed Abbas Ahmed, amewasisitiza waandishi wa habari kuendelea kuyazingatia maadili ya uahandishi wa habari na kuwaelimisha wengine ambao wanakiuka maadili hayo.
Amey...