Imewekwa kuanzia tarehe: August 23rd, 2023
Sekondari ya Tunduru mkoani Ruvuma ni miongoni mwa sekondari kongwe nchini ambayo serikali imetoa fedha za kukarabati miundombinu yake na kuongeza madarasa mapya kwa ajili ya kidato cha Tano
...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 21st, 2023
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU mkoani Ruvuma imebaini mapungufu kwenye miradi mitano ya maendeleo yenye thamani ya zaidi ya shilingi bilioni 3.7.
Akitoa taarifa ya utendaji...
Imewekwa kuanzia tarehe: August 21st, 2023
SERIKALI ya Awamu ya Sita imetoa shilingi bilioni 1.2 ili kuboresha huduma za matibabu katika hospitali ya Wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma .
Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Wilaya ya Tunduru Dr.Ath...