Imewekwa kuanzia tarehe: March 17th, 2024
Bandari ya Ndumbi ziwa Nyasa Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ambayo serikali imetoa zaidi ya shilingi bilioni 12 kutekeleza mradi huu ambao umekamilika kwa asilimia 100...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed alipoingia ofisini kwake kwa mara ya kwanza na kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas Machi 15,2024.
Kanali ...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 16th, 2024
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed amewatahadharisha watu watakaomletea majungu ofisini kwake ataweka loudspeaker kwenye simu kwa kuwa hana kifua cha kusikiliza na kuweka majungu.
...