Imewekwa kuanzia tarehe: March 16th, 2024
WAKALA wa barabara(TANROADS)mkoa wa Ruvuma,katika kipindi cha miaka mitatu imefanikiwa kutekeleza na kukamilisha miradi mbalimbali ya barabara ikiwemo ujenzi wa barabara ya Mbinga-Mbambabay yenye uref...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 15th, 2024
pichani kushoto ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimkabidhi ofisi ya Mkuu wa Mkoa aliyehamia kutoka Mkoa wa Mtwara Kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Kanali Abbas anakuwa Mkuu wa Mko...
Imewekwa kuanzia tarehe: March 15th, 2024
Pichani kulia ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akimpokea aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara ambaye amehamia Mkoa wa Ruvuma Kanali Ahmed Abbas Ahmed.
Makabidhiano rasmi ya ofisi...