Imewekwa kuanzia tarehe: September 6th, 2022
Jumla ya Kaya 67,780 na vijiji 685 vinanufaika na Utekelezaji wa Mpango wa Kunusuru Kaya Maskini (TASAF) Mkoa wa Ruvuma.
Hayo amesema Mratibu wa TASAF Mkoa wa Ruvuma Xsaveria Mlimira ofisini ...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 5th, 2022
MKUU wa Mkoa wa Ruvuma, Kanali Laban Thomasi, amewakaribisha wawekezaji wakubwa na wadogo kukamata fursa za uwekezaji zinazopatikana mkoa humo.
Ametoa wito huo wakati halfa ya uzindu...
Imewekwa kuanzia tarehe: September 5th, 2022
TANI zaidi 1593 za zao la mbaazi zimeweza kununuliwa katika mnada wa kwanza wa mbaazi wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma.
Meneja wa Ghala Chama Kikuu cha Ushirika Tunduru (TAMCU) Sarah Chorwa amesema ...