Imewekwa kuanzia tarehe: May 23rd, 2023
CHAMA cha watu wenye walemavu wilayani Mbinga(CHAWATA),kimeiomba serikali kuwapatia wataalam wa lugha za alama waweze kuwasaidia wanapofika katika maeneo ya kutolea huduma na kutoa mchango wao kwenye ...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 23rd, 2023
WIZARA ya Afya kwa kushirikiana na kitengo cha kifua kikuu na ukoma Hospitali ya wilaya Tunduru mkoani Ruvuma,imeendelea na kampeni ya upimaji wa maambukizi ya ugonjwa wa kifua kikuu kwa wananch...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 22nd, 2023
Timu ya Wataalamu kutoka Ofisi ya Mkoa wa Ruvuma, wamefanya ziara ya Kukagua miradi ya maendeleo katika Halmashauri ya Mji wa Mbinga, ikiwemo ujenzi na ukamilishwaji wa vyumba vya maabara, sambamba na...