Imewekwa kuanzia tarehe: January 28th, 2024
Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Thomas akizungumza na wananchi wa kijiji cha Amanimakoro wilayani Mbinga katika ziara ya Waziri wa Ujenzi Mheshimiwa Innocent Bashungwa pichani kulia.
...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 28th, 2024
Shirika lisilo la Kiserikali Standing Order Voice limetoa Elimu ya kujikinga na saratani ya ngozi kwa watu wenye ulemavu wa ngozi (Ualbino) katika Halmashauri ya Wilaya ya Madaba wilayani ...
Imewekwa kuanzia tarehe: January 28th, 2024
Waziri wa Ujenzi, Mhehshimiwa Innocent Bashungwa amesema Serikali ipo katika hatua za mwisho ya kusaini i mkataba na kumtangaza Mkandarasi atayejenga barabara ya Likuyufusi - Mkenda (km 122) wilayani ...