Imewekwa kuanzia tarehe: May 22nd, 2023
JUMLA ya kaya 67,780 mkoani Ruvuma zimeendelea kunufaika na Mpango wa kunusuru kaya masikini (TASAF) katika kipindi cha kuanzia Julai 2022 hadi Desemba 2022.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma Kanali Laban Tho...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 21st, 2023
Serikali ya Awamu ya Sita imedhamiria kujenga reli ya kimkakati kutoka Mtwara hadi Mbambabay Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma ifikapo mwaka 2025/2026.
Wizara ya Uchukuzi kupitia Shirika la...
Imewekwa kuanzia tarehe: May 21st, 2023
WATU 1,257,180 sawa na asilimia 70 ya wakazi wote wa Mkoa wa Ruvuma hadi kufikia Novemba 2022 wanapata huduma ya maji safi na salama.
Kulingana na sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022,Mkoa wa Ruvu...