Imewekwa kuanzia tarehe: September 24th, 2022
Mafunzo ya waendesha Ghala msimu wa mwaka 2022/2023 yameanza leo kwenye ukumbi wa chuo Kikuu cha SAUT Kampasi ya Mtwara.Mafunzo hayo yanaratibiwa na Bodi ya Usimamizi wa Stakabadhi za Ghala....
Imewekwa kuanzia tarehe: September 24th, 2022
SERIKALI imetoa shilingi milioni 500 kujenga Kituo cha Afya Kata ya Ligera Wilaya ya Namtumbo mkoani Ruvuma.Fedha hizo zimetokana na tozo za miamala ya simu....
Imewekwa kuanzia tarehe: September 24th, 2022
SERIKALI imetoa shilingi bilioni 3.3 kutekeleza mradi wa ujenzi wa Ofisi ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma.Jengo hili linatarajia kutumia shilingi bilioni 3.8 hadi...