Imewekwa kuanzia tarehe: February 20th, 2022
BENKI ya Biashara Tanzania(TCB)imezindua tawi jipya wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma, ikiwa ni jitihada za Benki hiyo kusogeza huduma za kwa wateja wake na wananchi wa wilaya ya Mbinga.
Akizungumza...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 21st, 2022
MBUNGE wa Jimbo la Tunduru Kaskazini Mkoani Ruvuma Hassan Kungu,amewataka viongozi wa Dini wilayani humo,kushirikiana na serikali kuwa elimisha waumini wao kujiandaa kushiriki kuhesabiwa katika zoezi ...
Imewekwa kuanzia tarehe: February 21st, 2022
BENKI ya Biashara Tanzania(TCB),imetoa msaada wa madawati 50 yenye thamani ya Sh.4,300,000 kwa shule ya msingi Komboa iliyopo kijiji cha Ruanda Halmashauri ya wilaya Mbinga mkoani Ruvuma.
Hii ni ...