Imewekwa kuanzia tarehe: June 12th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 umetembelea miradi 10 ya maendeleo yenye thamani ya shilingi bilioni 4.5 katika Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Akitoa taarifa ya utekelezaji wa mradi wa maji mt...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 11th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 umeikubali miradi yote yenye thamani ya Zaidi ya shilingi bilioni moja iliyoipitia katika Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga.
Akizungumza kwenye makabidhiano ya Mwenge wa Uhuru ka...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 10th, 2024
Mwenge wa Uhuru 2024 umeweka jiwe la msingi katika mradi wa maji ya mtiririko katika kijiji cha Lipaya Kata ya Mpitimbi Halmashauri ya Wilaya ya Songea mkoani Ruvuma ambapo serikali imetoa zaidi...