Imewekwa kuanzia tarehe: June 11th, 2023
SERIKALI imebadili matumizi eneo lililotengwa kwaajili ya ufugaji lenye hekta 4600 kijiji cha Ngadinda kuwa eneo la kilimo cha Mahindi ya njano.
Mkuu wa Wilaya ya Songea Wilman Nd...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 11th, 2023
SERIKALI kupitia Wakala wa Maji Vijijini (RUWASA) imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 5.5 kujenga mradi wa Maji Kata ya Mtiyangimbole Halmashauri ya Madaba wilaya ya Songea mkoani Ruvuma.
Hayo yamesem...
Imewekwa kuanzia tarehe: June 11th, 2023
Mkuu wa Wilaya ya Mbinga Mhe. Aziza Mangosongo ameongoza kikao cha maandalizi kuelekea kufanyika kwa maonesho ya Nane Nane mwaka huu 2023.
Kupitia kikao hicho kilichofanyika ukumbi wa Chuo ch...